J Classic şarkı sözleri
Nili sema asante ulipo ingia kwa maisha yangu
Sikujuwa wewe ungekua mtesi wa moyo wangu
Macho nili fumba nisione mwengine zaidi ya wewe
Sikio nika ziba nisi skie mwengine zaidi ya wewe
Nilikupa moyo moyo mama ahya wee
Ukawa na uchoyo nyodo mama wee
Zako skendo skendo sikua na neno, nilibaki bubu
Ladha ya penzi lako sijuwi nasoma kwa vitabu, vitabuu
Uka ni cheka cheka kwamba sina nyumba nili kulaza kwenye choo
Tena uka bweka bweka bora unge nitema nili ku kaba kwenye koo
Baby sawa ( moyo tulia kuna na vya watu )
Ahyaa ah ( maumivu yata pita niya muda tu )
Baby sawa ( moyo tulia, tulia moyo )
Ahyaa ah ( maumivu niache niache eh )
Uli nipa maumivu, maumivu moyo usha funga kurasa
Ulijua nime zama kwa kina ila uka nitowa garasa
Utamu ndio ladha ya mapenzi kwangu nili hisi ukakasi
Nimeshindwa hizi mbio kwa penzi kwa hii kasi ya farasi
Nilikupa moyo, moyo mama ahya wee
Ukawa na uchoyo, nyodo mama wee
Uka ni cheka, cheka kwamba sina nyumba nili kulaza kwenye choo
Tena uka bweka bweka bora unge nitema nili ku kaba kwenye koo
Baby sawa ( moyo tulia kuna na vya watu )
Ahyaa ah ( maumivu yata pita niya muda tu )
Baby sawa ( moyo tulia, tulia moyo )
Ahyaa ah ( maumivu niache niache eh )
Zime nishinda skendo,