jabbali black sun (feat. ndutanotes) şarkı sözleri
Kuna watu ambao
Wamezoea kujipa shida
Na watu ambao
Wanapenda kujidanganya
Fuata nyuki mkia risasi
Walishe chuki ukingoja asali
Kundi korofi wapotea njiani
Fuata asali upate amani
Fuata nyuki mkia risasi
Walishe chuki ukingoja asali
Kundi korofi wapotea njiani
Fuata asali upate amani
Ouuuuuuuuuuummmmmmm
Fungua macho Usilie gizani
Walichokisema usitie ahadi
Kula tunda ikawa ni dhambi
Niepushe uzito moyoni
Natafuta ukweli sipati
Nieleze hili kiwazi wazi
Kuna watu ambao
Wamezoea kujipa shida
Na watu ambao
Wanapenda kujidanganya
Kuna watu ambao
Wamezoea kujipa shida
Ayna gnadijukande panaw
Adisha pijukae ozemaw
Iweeeeee!

