jackson yusuph kanyaga twende (feat. goodluck gozbert) şarkı sözleri
Nusderrr
Mambo ya Shetani
Kanyaga, Kanyaga Twende Kanyaga.
Tamaa za mwovu
Kanyaga, Kanyaga twende, Kanyaga
Vishawishi vyake
Kanyaga, Kanyaga Twende Kanyaga
Mbinu zake zote eeh
Kanyaga Twende Kanyaga
Mambo ya Shetani huonekana mazuri sana
Lakini mwisho wake eeh, ni hasara tupu
Ana kila aina, ya vishawishi
Ili kupotosha aah, wana wa Mungu
Usidanganyike, usijichanganye
Usimwamini maana mwisho wake utalia yoyoyo
Woi woi woi wooo
Yei yei yei yee
Woi woi woi wooo eeh
Woi woi woi wooo
Yei yei yei yee
Woi woi woi wooo eeh
Kwenye Sifa nguvu inashuka
Na mapepo yanatetemeka
Tukisema mbingu zinafanya
Njia saba yanawezekana aah
Mimi siwezi (siweeezii)
Kubakia chinii (chiinii)
Tena na kataa (Kataa)
Kubakia chini (chiiniii)
Eeeh
Ooh kwenye uchawi na kanyaga, na kanyaga
Ulevi na kanyaga, na kanyaga
Ule uzinzi na kanyaga, na kanyaga
Mapokoloko na kanyaga, bala we bala wewe eeh
Mambo ya Shetani
Kanyaga, Kanyaga Twende Kanyaga.
Tamaa za mwovu
Kanyaga, Kanyaga twende, Kanyaga
Vishawishi vyake
Kanyaga, Kanyaga Twende Kanyaga
Mbinu zake zote eeh
Kanyaga Twende Kanyaga
Eeeeh twende kwa Bwana
Twende kwa Bwana aah
Kwa Bwana, kwa Bwana
Twende kwa Bwana Twende kwa Bwana
Kwa Bwana, Kwa Bwana
Eeeh Twende Kwa Bwana, Twende kwa Bwana aaah
Kwa Bwana aah, Kwa Bwana aah
Baraka tele (chukua)
Uzima wa Milele (chukua)
Baraka telee (Chukua)
Uzima wa Milele (chukua)
Usibaki usibaki nyuma (nyumaaaa)
Usirudi usirudi nyuma (nyumaaa)
Usibaki usibaki nyuma (nyumaa)
Usirudi usirudi nyuma (nyumaaa)
Eeeh
Baraka tele (chukua)
Uzima wa Milele (chukua
Baraka telee (Chukua)
Uzima wa Milele (chukua)

