jackson yusuph mwamini mungu şarkı sözleri
Oooh oooh hey mmmh
Nimegundua chanzo cha mafanikio ni kuwa na Yesu
Hata uwe na gari, pesa na Nyumba huku na kule
Bila Yesu ni bureee eeeh
Wanadamu wengi wanahangaika kutafuta mafanikio wakitumia nguvu zao eeeh
Wanamuweka Mungu nyumba (Haaaa)
Wanapo fail wanaanza kumlaum kawaida
Nakwambia Mungu ndie chanzo cha mambo yote hey mmmmh
Waganga hawawezi kukusaidia
Ndugu zako hawawezi kukusaidia
Dakitari haweza kukusaidia ukimwamini Mungu wako yote yanawezekana aaah
Mmmmmmhhhh
Mwamini Mungu yote yanawezekana
Mwamini Mungu hawezi kushindwa
Mwamini Mungu yote Yanawezekana
Mwamini Mungu hawezi Kushindwa
Kwako wewe unae tafuta hujapata usilie
Hata kama unakutana na changamoto mbali mbali
Mungu wako bado yuko naweweeeeeh
Hawezi kukuacha uangamieeee (Uangamie)
Hawezei kukuacha usifike uendapo
Yeye ni Mungu anaefanya kwa ukubwa
Matendo yake eeeh yaishangaza Dunia
Waganga hawawezi kukusaidia
Ndugu zako hawawezi kukusaidia
Dakitari haweza kukusaidia ukimwamini Mungu wako yote yanawezekana aaah
Mmmmmmhhhh
Mwamini Mungu yote yanawezekana
Mwamini Mungu hawezi kushindwa
Mwamini Mungu yote Yanawezekana
Mwamini Mungu hawezi Kushindwa

