jackson yusuph niwewe şarkı sözleri
Nimeelewa wewe mtetezi wangu
Kimbilio langu, mnennaji wangu
Msaada uonekanao wakati wote eeh
Sehemu zote
Hujawahi kamwe kuniacha aah, kunitenga eeh
Kunisahau uuuh Aaaah
Kila ninapo kuita unaitika
Na unafanya sawa namapenzi yangu
Nikiwa nawewe niko safe, niko safe, niko safe
Nikiwa nawewe niko safe, niko safe, niko safe
Niwewe eeeh mtetezi wangu, mtetezi wangu
Niwewe Msaada wangu, msaada wangu
Niwewe kimbilio langu, kimbilio langu
Ninafurahishwa na upendo wako
Ninaridhishwa na ulinzi wako ooh
Nimetia nanga kwakoo (Sibanduki kamwe)
Hujaangalia utakatifu, uzuri wala ukamilifu wangu
Mpaka sasa niwe hai, niwe hai mimii
Hatua Zangu zaongozwa nawe
Mi sina hofu wala mashaka
Nimefunikwa na Neema yako oooh
Umenihifadhi mabawani mwako
Uhai wangu u mikononi mwako
Niwewe Bwana tuuu
Najivunia kuwa nawewe, kuwa nawewe eeeh oooh
Nikiwa nawowe niko safe, niko safe, niko safe
Niwewe eeeh mtetezi wangu, mtetezi wangu
Niwewe Msaada wangu, msaada wangu
Niwewe kimbilio langu, kimbilio langu
E bwana na kutegemea wewe, nisiaibike milele
Milele eeeh, milele eeeh
E bwana na kutegemea wewe, nisiaibike milele
Milele eeeh, milele eeeh
Niwewe mtetezi tangu, mtetezi wangu
Niwewe Msaada wangu, msaada wangu
Niwewe kimbilio langu, kimbilio langu

