jackson yusuph uinuliwe şarkı sözleri
Baba kama siwewe ningekuwa wapi
Dady kama siwewe ningekuwa nani?
Nani iiih
Yahweeh kama siwewe ningeitwa nani?
Nani eeeeh
Umebadili maisha yangu nakuyafanya mapya...
Watesi na maadui zangu Umewanyima nafasi
Jina lako lihimidiwe
Tangu leo na milele eeeh
Wewe umwinua masikini
Kutoka mavumbini eeeeh
Na kumketisha pamoja
Na wenye heshima aah
Ninani alie mfano wako
Je Ninani alie kama wewe eeh
Bwana aaaah
Uinuliwe baba aaah uketie juu
Zaidi yako hakuna mwingine
Uinuliwe baba aah, uketie juu
Zaidi yako ooh hakuna mwingine eeh
Hakuna haaaah mwingine eeh
Hakuna, hakuna mwingine eeeh
Toka misingi ya dunia hajawahi Kuwepo kama wewe
Viumbe wote wanatambuwa ukuu wako hooohoo
Unafanya miujiza kila kukicha
Niwewe mtetezi wa wanyonge
Niwewe baba wamayatima!
Huduma zako zote ni buree
Hazichagui kabila wala rangi
Ninani alie mfano wako
Ninani alie kama wewe eeh
Nasema uinuliweeeeh
Uinuliwe baba ahh uketie juu
Zaidi yako hakuna mwingine
Uinuliwe baba aah, uketie juu
Zaidi yako ooh hakuna mwingine eeh
Eeeeeeh
Mwingine,hakuna mwingine eeh
Umenifanya niwe tofauti sana kuliko zamani
Umenifanya niwe wa thamani, sasa nang'ara kama zahabu
Hapa nilipo leo ni kwa neema yako
Na rehema zako oooh
Umenitoa mavumbini na
Kuniketisha na wenye heshima
Na sema uinuliwe eeeh
Uinuliwe baba aah, uinuliwe baba uketie juu
Zaidi yako, zaidi yako hakuna mwingine
Uinuliwe,uinuliwe,uinuliwe baba aah, uketie juu
Zaidi yako ooh hakuna mwingine eeh, zaidi yako hakuna mwingine eeeh

