jaguar kioo şarkı sözleri

One Two, Maisha ni ni kama safari ni safari Hakuna ajuaye kesho itakuwaje Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo Maisha kama safari na yangu ishang'oa nanga Tuna siku mbili muhimu, ya kuzaliwa na ya kuzama Yangu ya kuzaliwa nishaijua bado ya kuzama toka duniani Wanaongea sana na hawajui kule nimetoka Wakisema na didimia ona bado napepea Wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao Wakidhani na didimia ona bado napepea Wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo Nimetembea pote duniani nimepatana na wengi duniani Kuna wale wananieleza ukweli wengine wananidanganya Wengine hawalali wakitaka kushindana nami Hawajui kule nimetoka hawajui yale nimeona Wakisema na didimia ona bado napepea Wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao Wakidhani na didimia ona bado napepea Wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo Nijue tofauti ya jana na leo Nijue tofauti ya jana na leo Nijue tofauti ya jana na leo Nijue tofauti ya jana na leo Nijue tofauti ya jana na leo Nijue tofauti ya jana na leo Nijue tofauti ya jana na leo
Sanatçı: Jaguar
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:23
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Jaguar hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı