k doo k pesa moshi şarkı sözleri

To my Zone, Yeeeeah Ama take you, straight to my Zone now I'm the Boss now, blow Some Kiruuuuuuuuu Wana jiuliza Mchagga, kwanini Mchagga napendwa na pesa Nawa ambia sababu Mchagga, napenda pesa Ina ni letea mali safi, na wasichana Na mimi ni mtu wa Moshi, pombe sigara Sikosi pombe sigara (Moshi) Mapene na wasichana (Cash) Sikosi pombe Sigara Kush, mapene na wasichana (Cash) Moshi, More cheese Smoking, More trees Noti, Note It, not Cheap Roll it, Blow it, Moshi Wana ni, Check Niko Serena, nime washa Fegi Kichwa ma Dread Pembeni na mtoto, mkali Kishenzi Mkononi, na glass ya Whisky Kainda Tips Naskia mziki, mzuri kwa Mbali I puff and sipping Mtoto anasema anapenda ninavyo Nukia pombe na sigara Mixer ya harufu, Vasachi na Bia Gode toka Amsterdam Mi na mwambia tulia, naweza Lipia Si uko na Hustler Hata waki angali, ni mtu wa Moshi Popote na Washa Wana jiuliza Mchagga, kwanini Mchagga napendwa na Pesa Nawa ambia sababu Mchagga, napenda Pesa Ina ni letea mali Safi, na Wasichana Na mimi ni mtu wa Moshi, Pombe sigara Sikosi pombe sigara (Moshi) Mapene na wasichana (Cash) Sikosi pombe sigara Kush, mapene na wasichana (Cash) Moshi, More cheese Smoking, More trees Noti, Note It, not Cheap Roll It, Blow It, Moshi Washa kituu, fukuza mapepo Nili wa Show wangate Ulimi, wajazwe Upepo Watu wa Moshi, Kaskazini, majani ya wepo Matawi ya Langa, matawi ya Juu, mchawi Upepo Maria, Maria, Mama wa Yesu Utu ombee, sisi wanao, ni wakosefu Tuna kuvuta, bila aibu, mi na Joseph Me na kuficha, ili police, wasi niweke Central In hale, Exhale, breath in, Breath out High grade, Loco, mbichi, Mbichwaa Skanka, Shasha, Malawi Gold,Indica, Sativa Nalipa yote, buku au mia(100), Mia Khalifa Wana jiuliza Mchagga, kwanini Mchagga napendwa na Pesa Nawa ambia sababu Mchagga, napenda Pesa Ina ni letea Mali safi, na wasichana Na mimi ni Mtu wa Moshi, Pombe Sigara Sikosi pombe sigara (Moshi) Mapene na wasichana (Cash) Sikosi pombe sigara Kush, mapene na wasichana Cash),
Sanatçı: K Doo K Pesa
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:55
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
K Doo K Pesa hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı