k kahuna kalahari şarkı sözleri
Yah,G
Tunadrip bila maji
Welcome Eastlands nikuonyeshe mali safi
Lame art same sound mmepitwa na wakati
Tunadip Kalahari
Tunadip Kalahari
Rada ikiwa chafu tunadip Kalahari
Step in the scene na kiAP
Nimetoka far na siteti
Sema ivo apa toka mneti
Siezi cope with you nyi mavedi
Nyi ridiculous twabaki anonymous
Rada chafu twacheza kispartacus
Mi ni venom lyrics zangu poisonous
Punguza kiburi utapigwa uppercut
Venye anabang huezi sema boy ameririma
Saka cheda ukosekane waseme unaringa
So weak mnambao mkiguza matimber
Bad decision loading shika mizinga
Hard to get ady sanse ameshindwa kunicuff
Si kueasy siku izi buda ni kutuff
Uwe bad boy daddy huskii huezi puff
Umefanywa a clown joh si tunakulaugh
Tunadrip bila maji
Welcome Eastlands nikuonyeshe mali safi
Lame art same sound mmepitwa na wakati
Tunadip Kalahari
Tunadip Kalahari
Rada ikiwa chafu tunadip Kalahari
Tunadip Kalahari
Tunadip Kalahari
Tunadip Kalahari
Tunadip Kalahari
Mi hukuwa genje ata bila mbogi,huskii spatikani ju nakuanga lowkey
Mi huchukia watu wao ubonga bogi,na zogo ikitokea ata siwaoni
Si hushika boyz wanatry kugondi,after apo twawacane twawachoma slowly
Mi ugotea nambli nikimpiga soki,buda ukiliwa dem mi nakula profit
Moves zangu kama Denno ninakuanga tu kwa road man
Ata nsote aje huezi npata nikikopa
Press kama Cardi niko kadi kama poker
Mi na jaber goals nakafunga kama soccer
Munasema what,siwaskii joh mshout
Nikifika mara that,then the crowd gets loud
Nawabamba nikirap,mnavibe with the sound
Kuna dream mi huhave,ni kumake fam proud
Nacount big checks joh ni ka naown Nike
Niko so fly cloud nine niko high
Nianze kuwa blunt no siezi use ngwai
Uliachwa mwongo mzima ndio maana unalie
Najua huezi peana but mwai ikibaki
Niko so fishy ninanuka ka samaki
Feel so lucky
Nimeshika a hundred Gs na bado tunadrip bila maji
Welcome Eastlands nikuonyeshe mali safi
Lame art same sound mmepitwa na wakati
Tunadip Kalahari
Tunadip Kalahari
Rada ikiwa chafu tunadip Kalahari