k kahuna swaga balaa (feat. patilla rex) şarkı sözleri
Aaah Huh
Sketch made it happen
Swa swa
Swaga Balaa,ulalalaa
Swaga Balaa,ulalalaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Cheki izo kicks cheki izo clarks cheki izo Nike
Swaga Balaa
Cheki matimber jodo fosa buda ai
Swaga Balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Cheki izo kicks cheki izo clarks cheki izo Nike
Swaga Balaa
Cheki matimber jodo fosa buda ai
Swaga Balaa
Swaga balaa
Ni si tunamwagika izi mitaa
Luku ni ndechu si vile inafaa
Tukivaa ndege si si tunapaa
Shoegame ni mad mad mad
Si tunashine than Ayra Starr
Vaa luku safi na ulale njaa
Cheki malabel ady kwenye scarf,ai
Nimeshinda nkibuy luku manze sina ady das
Ile time si tulifika walitoka very fast
Unaeza tuita Tupac ju we have all eyes on us
West Coast modern drip lazma tupandishe class
Swa swa swa swa swa,swaga balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Cheki izo kicks cheki izo clarks cheki izo Nike
Swaga Balaa
Cheki matimber jodo fosa buda ai
Swaga Balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Cheki izo kicks cheki izo clarks cheki izo Nike
Swaga Balaa
Cheki matimber jodo fosa buda ai
Swaga Balaa
Ey
Swaga balaa,ulalalaa
Cheki madrip,cheki mawatch
Swaga balaa,ulalalaa
Cheki madrip,cheki mawatch
Pamba ni moto ka pasi,pause kidogo tukule wanjapi
Drip inaattract punani,pongi ni safi ni ka ya mlami
Mchezo ya vumbi sitaki,ukinitafuta aki hunipati
Chini nadunga mambati
Sshh sshh
Napiga marashi
Rende ni rong,rende ni bomb
Washatambua mimi ndo the don
Wakilalisha natoanga form
Kam na warena nakam na ndom
Swa swa swa swa swa,swaga balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Cheki izo kicks cheki izo clarks cheki izo Nike
Swaga Balaa
Cheki matimber jodo fosa buda ai
Swaga Balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Ey swa swa swa swa swa,swaga balaa
Cheki izo kicks cheki izo clarks cheki izo Nike
Swaga Balaa
Cheki matimber jodo fosa buda ai
Swaga Balaa