k1bj0k mw1k0 şarkı sözleri
I'l be fine, i doubt myself more than you so
Caught me lying i will be glad that you did so
Come be mine, i have been longing for you oh
All the time, and i hope that you never need to go
Anywhere i know, cos i never wanna have to see you no more
3 soo, ukakula fare sa unataka nikam!
Kwako tufanye shughuli shugulika na kwako
Ruto, tupate hurubaro tupate karriokor!
Anko, ananitetea juu buda hakueko!
Funzo, umepitia mengi we zidi kupush on!
Lakini mi huwa sipeani maleson
Kwa hii dunia unafanya utakacho
Kai we tulia, wacha mdomo ka dadako
Kuna kijana mtaani wapi joboo
Cheza mpira na kadenge pigwa chobo!
Tuliza ego, nini mpya chini ya sun
Kaa darasani poteza wakati tiktok
After mavela tuko on the way kwako
Kwa highway swerving kwa gari ya budako
Mko na bima hakuna kitu itago wrong
Kama nikwenda twende wote mara moja
Funga mshipi kuja nami kwa adventure
Anko,
Ananitetea juu buda hakueko
Utanipata mara mingi niko pako
Usiniulize maswali mengi kakako
Si wote huwa na siku zetu za kando
Cuma ikiregarega jaribu macandle
Mi siezi kula chakula bila Avokado
Kitu ngine siwezi wacha ni kufanto
Mwiko,
Ikivunjika ujue unalala kwa choo!
I know,
Siku zinasonga siuwache mi ni move on
I'l be fine, i doubt myself more than you so
Caught me lying i will be glad that you did so
Come be mine, i have been longing for you oh
All the time, and i hope that you never need to go