k4kanali rukisha (rada ya mije) şarkı sözleri
Me hurukisha za danda ndo nichill na maras
Cheza na google upige mingi research
Nakuanga stroko nikisababisha mraa
Adisia ile effort niliekanga kwa map
Allahamdullila
Riko niko trap
Civo nikustick up hao macivo na mastrap
Usiku ni kushikishanga simple na macla
Tena kitemeo me napenda wingi wa maskirt
Kusafishanga si ndo rada ya mije
Naskia huezi kusoma rada ya mije
Niliwatoka hao mapaplin hupretend hawaezi bonga kuhusu rada ya mije
Kusafishanga si ndo rada ya mije
Naskia huezi kusoma rada ya mije
Niliwatoka hao mapaplin hupretend hawaezi bonga kuhusu rada ya mije
Mtara ni kumedi na bricks
Na rada huchafukanga masix
Huanga nmetoka kuisaka ukinilola utadigi kistoko ya misri
Huh, maforeign mapizze za nzakwa
Kwa shomwi mapyenga za backyard
Kanali the don huanga rasta
Chapia okwefwe akuje na kamba
Tuzidi kungati kungati ma-key
Majio zisundwe kwa kina Njoki
Na sasa zilule zilule
Io injaca ikuje ikuje itabidi watii