kakanabix kenya kakanabix amapiano şarkı sözleri
Simkaribieni beat imenishika
Naomba sikieni mta ni itika
Nitawaroga roga roga mistari mtazishika
Basi mkenya siucheze
Aina style tuzikwende
Akidinda ni mbezee
Nasi lazima nimtendee
Basi naanzie kukusifu wapi Sura Yako inanivutia siwezi kujificha
Unathani wamekusema wangapi
Wewe ni mrembo umeumbwa ukaumbika
Hisia zako zanikosha mummy
Zaidi umbo lako la chachisha
Basi mkenya siucheze
Aina style tuzikwende
Akidinda ni mbezee
Nasi lazima nimtendee
Mwenzenu mdada ataki kucheza na mimi ana maringo
Basi kiende kiende na chini tukivunja kiuno
Isokote mchicha ya wimbii ya kunyoosha shingo
Unau brother
Ata unamkabaa
Y
Yaani uyo mdada
Basi cheza cheza cheza baby Niki imba
Umeniweza weza weza na uo mkitimba
Unamtatizanga dume suruali Ina vimba
Na anabishananga sana kwani akona mimba
Basi mkenya siuchez
Aina style tuzikwende
Akidinda ni mbezee
Nasi lazima nimtendee

