kampari umenikamata (feat. eddy mohamed) şarkı sözleri

Kuna kitu taka sema lakini naogopa Utahisi ni mapema halafu utaondoka Ila vyovyote njoo karibu twende popote Sijaona kama wee ntapambana nisikukose Umendeza sana macho hayachoki kutazama Ukinipa nitazama umenivutia unachofanya Japo gari sina naomba nikujue hata japo jina Ebu kuwa na huruma You are so serious ama unapima Umenikamata baby boy jua mi ni mateka wako Watapepesa tena watatwanga na kukupeta Come over baby I wanna be with you boy Usiwasikilize mimi wako usiniumize Come over baby I wanna be with you boy Usiwasikilize mimi wako usiniumize Juzi jana nimelia sana Nayule manzi nilipokuona Nikanywa pombe ulinichanganya Ndo mana nasema Masaa yanakwenda kuwa true usijenitenda Na upendo umenikaba koo please usije kwenda Nitatulia mikononi mwako sitakimbia Nishajifia tena ni mateka nishakwambia Japo gari sina naomba nikujue hata japo jina Ebu kuwa na huruma You are so serious ama unapima Come over baby I wanna be with you boy Usiwasikilize mimi ni wako usiniumize Come over baby I wanna be with you boy Usiwasikilize mimi wako usiniumize Sema basi kitu gani unacho ogopa Hema Basi vitu flani nnavyokupa Kwa muda gani basi siri utaificha Kama kupenda ulishapenda haina haja kuficha Ngoja nikupe siri moja kuhusu mimi Nilishajua unanipenda toka zamani Nikawa nasubiri utakapokuwa tayari Kama fresh okay? nipe habari I wanna come over, No more drama now get over Time to surrender baby hand it over I've been waiting long time I'm your Casanova Niko hapa nasubiri leo Sitochoka si utakuja sio Nitafurahi ukiniambia ndiyo nitakuwa High juu ya hao vimeo Niite MO Come over baby I wanna be with you boy Usiwasikilize mimi ni wako usiniumize Come over baby I wanna be with you boy Usiwasikilize mimi ni wako usiniumize Japo gari sina naomba nikujue hata japo jina Ebu kuwa na huruma You are so serious ama unapima Come over baby I wanna be with you boy Usiwasikilize mimi ni wako usiniumize (I wanna Come Over)
Sanatçı: Kampari
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:53
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Kampari hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı