kapital nuff jokes aside şarkı sözleri
Ilianza ka story joh
Ilianza tu kama jokes
Kuchocha mamorio
Saa hizi my nigga am going to the top
Ilianza ka story joh
Ilianza tu kama jokes
Kuchocha mamorio
Saa hizi my nigga am going to the top
Ilianza ka story joh
Ilianza tu kama jokes
Kuchocha mamorio
Saa hizi my nigga am going to the top
Ilianza ka story joh
Ilianza tu kama jokes
Kuchocha mamorio
Saa hizi my nigga am going to the top
Ilianza ka story joh, kwa crib tukimedi na ombitho
Kuna time hakukuwa kwa pori doh, kufika hapa ni maombi though
Ka ni ganji naitaka before, nifike ile miaka ya 44
Ka ni warazi masoki mablow, hatugwai kupelekwa kwa kotiko
Natapika malines ikifika kwa mic wanadai nitaoverthrow
Nakuja na syk and I don't even mind nani Kenya hurun the throne
Gwan tell its time ya mimi kushine everyone gotta know
Itajipa walai bora nigrind nieke bidii kwa job
Ata muanze kuhate na maneno mingi bado mimi niko kwa jara
Hii kitu ni fate na mimi ni gwiji nakuja kuchafua rada
You niggas are lame kazi ni kiki na pia mna roho mbaya
Am getting the cake na sitaki rafiki hii maisha solo inabamba
Ka ni jasho basi nitamwaga bora mi nipate iyo gwala
Ka ni hustle lazima kuchapa kila siku its another new chapter
Narauka mi nimesimama kwa hii industry siezi lala
Nyi endeleeni tu na umama itabaki mfunguliwe chama
Ilianza ka story joh
Ilianza tu kama jokes
Kuchocha mamorio
Saa hizi my nigga am going to the top
Ilianza ka story joh
Ilianza tu kama jokes
Kuchocha mamorio
Saa hizi my nigga am going to the top
Ilianza ka story joh
Ilianza tu kama jokes
Kuchocha mamorio
Saa hizi my nigga am going to the top
Ilianza ka story joh
Ilianza tu kama jokes
Kuchocha mamorio
Saa hizi my nigga am going to the top
Ilianza na machocha, madrama na pia vioja
Walisema kijana utachoka na keki pia hutaonja
Well I geuss they never saw my focus, them niggas just had to be bogus
Tunakuja kwa game kutakeover, it's a slaughter hamwezi recover
Marapper wamekuwa dormant I be stepping on them like a doormat
Vile mi nataka iyo doh man nina songa hadi niwe donga
Mi ndo pedi nipate kwa corner na usishuku mi sikuwagi conman
Got the best shika pyenga you confirm na ukitaka I can give you my contact
Nina ngwai hazikosagi offer, za rwabe nakuongeza moja
Na bado ile time umesota kuja zabe mi nitakuchoma
Mali safi enye nyaru natoa, mali safi na si ya dodoma
Na masanse siwezi wachota juu siwezi shindwa kutoroka
I be ready on me I got big joints I be rolling only with the big boys
Rada chafu nawakia indoor ka ni trap naendesha na vehicle
I can never let you know my distro I can never let you go on default
Huwezi hepa if you owe me doh, I be putting in work for my people
Ilianza ka story joh
Ilianza tu kama jokes
Kuchocha mamorio
Saa hizi my nigga am going to the top
Ilianza ka story joh
Ilianza tu kama jokes
Kuchocha mamorio
Saa hizi my nigga am going to the top
Ilianza ka story joh
Ilianza tu kama jokes
Kuchocha mamorio
Saa hizi my nigga am going to the top
Ilianza ka story joh
Ilianza tu kama jokes
Kuchocha mamorio
Saa hizi my nigga am going to the top

