kapital nuff wera şarkı sözleri
(Ah huh ah huh)
(Kapital Nuff)
(Kstyl in the making)
(107)
(Eeey)
Chapa wera since early in the morning (Early in the morning)
Songa hadi magizani (Gizani)
Bora unapata maganji wera ni wera usibague kazi (Usibague kazi)
Chapa wera na usare madwanzi (Madwanzi)
Usimwage iyo jasho for nothing (Jasho for nothing)
Nataka mashamba magari (Magari) na kwa pori nisikose manoti (Eey eey)

Nataka mashamba magari (Eey eey)
Na kwa pori nisikose manoti (Nsikose manoti)
Ukigrind chorea watiaji (Watiaji)
Maybe you're kind utabaki na nothing (Utabaki na nothing)
Ukiziwai ndo unapataga arif (Maarif)
Zikidie wanapotelea mbali (Eey)
Niko ritho hadi late magizani (Niko ritho)
Sipendi watu wenye kisirani (Siwapendi)
Utatumiwa ukiwapa nafasi (Utatumiwa)
Niko rada namulika madwanzi (Nawamulika)
Lazima difu iwekwe mezani (Lazima)
Hapa wazembe siwapi nafasi (Siwezi)
Wausemaga mi mchoyo mlafi (Aiii)
Nakula solo macheda sigawi
(Clicks)
Ufala sitaki (Sipendi)
Riba yenu nakata ka makasi (Naikata)
Nyi wajunia panguzeni kamasi (Panguzeni)
Floor ya juu ni ya watu wauchapa kazi (Yeah)
Namwaga jasho nipate ganji (Namwaga jasho)
Naekelea muscle ndo nipande ngazi (Naekelea musle)
Sipigi hustle iko na ubinafsi (Siezi piga)
Lazima pia kumind wafanyikazi (Lazima umind)
Buda mi hukuwaga allergic (Allergic)
To the lazy niggas na warazi (Warazi)
Ati unangoja mabaki (Mabaki)
Kitu utapata ni bare (Kapow!)
Daily kwa game you know that I be learning (Learning)
Vile nitatumia kipaji (Kipaji)
Sikuwa na ganji since I was a youngin (A youngin)
Msoto saa hizi siwezi kubali (Siwezi)
Kuomoka ndio ile kitu I be yearning (I be yearning)
That's why siwezi poteza wakati (Siwezi)
Kila dakika you know I be earning (I be earning)
Mi napata karatasi