karu black already know şarkı sözleri

Black in the Building Yeah Talanta si ndumba si vako kamari venye Kiongozi anacheza na flow Kama unataka ma vako hatari cheki tu pori na ukuje na dough Vako za kwetu si kama za wale kuna miradi hatuwezi ka post Kama uko rada weh fika kwa party zile ma vako you already know Already know Kuna ma vako hatuwezi ka post Already know Kuna miradi we keeep on da low Already know Kama ni mbleina tabidi ni ghost Already know kama uko rada weh kuja tu toast Vile Nairobi ni shamba la mawe Cheki una mblein ukikuja na jemebe Toka wahenga na wale wa kale Wale wagenge ilibidi wa nene Cheki ukipenya utafika kwa party Zile ma area hakunaga kanenge Maisha kanairo si mambo ni shwari ati ulifika ulikuja na rende Bei imepanda vitu na do finessin da money in a couple of ways Rende inamanga step in da room cheki tu sasa they call us by name Kama uko rada vitu uta do wale ma mbleina wata dedi na shame Usilete lawama kwa ma bazu kamati ni ngori na haipendi ma games Vitu zingine unadhani ni chocha Utoke kwa block utapiga tu mboka Wera ni wera unaichapa uko sober Leo ni ku party ku turn up vi noma Sit at the table ulikuanga kwa boarder Zile ma days za ma rubber na ngoma Leo ni ma kicks na ume change into loafers Iko tu sawa ile pace una songa Talanta si ndumba si vako kamari venye Kiongozi anacheza na flow Kama unataka ma vako hatari cheki tu pori na ukuje na dough Vako za kwetu si kama za wale kuna miradi hatuwezi ka post Kama uko rada weh fika kwa party zile ma vako you already know Already know Kuna ma vako hatuwezi ka post Already know Kuna miradi we keeep on da low Already know Kama ni mbleina tabidi ni ghost Already know kama uko rada weh kuja tu toast Already know Kuna ma vako hatuwezi ka post Already know Kuna miradi we keeep on da low Already know Kama ni mbleina tabidi ni ghost Already know kama uko rada weh kuja tu toast Vumbi kwa shoulder na brush Kuna miradi tu kwetu ni must Ata kama we do it n hush Ha' ni ma morio I know i can trust Ma local za kwetu ni shash Hakuna ma vako za nyaru na gas Leo tumefika kwa bash Zile ma yardie za kwenu relax Omba tu Mola na usare ku worry shout out kwa yout' anachapa tu biz Ile ndo struggle haikuji kwa story daily ni mboka unageuka tu beast Siku ni mingi hujapandwa na mori medi na puff una saka tu peace Foot on the gas unaongeza irori mkidi na wife wasibaki kwa streets Venye naileta ile design inapunguza pressure Jifanye unalenga rende na wife niko sure wanapenda On da agenda tuko kwa bash na haitaki pretenders Tuko na temper usiwashe tu nare na hupendi adventure Talanta si ndumba si vako kamari venye Kiongozi anacheza na flow Kama unataka ma vako hatari cheki tu pori na ukuje na dough Vako za kwetu si kama za wale kuna miradi hatuwezi ka post Kama uko rada weh fika kwa party zile ma vako you already know Already know Kuna ma vako hatuwezi ka post Already know Kuna miradi we keeep on da low Already know Kama ni mbleina tabidi ni ghost Already know kama uko rada weh kuja tu toast
Sanatçı: Karu Black
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:01
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Karu Black hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı