karu black crown şarkı sözleri

Ey Karu Black Heavy is the head Kichwa ni heavy design ya King Mohammad Ali Kijana na sting Daily ni wera nipate kwa ring Cheki wanapenda ma vako na bring Mbona ku dhani na beba da ting Cheki ku tense na kuhepa kwa scene Karu da nigga sinanga machine Lakini wanapenda ma vako na bring Talanta ni biz hakuna za vako Ma mbleina ni wengi kudai za macho On the low low kwa dm ma vako za tapo Manguna wa kwenu hawajui niko hustle Mboka ikijipa ni noti kwa jasho Warazi matoathi si wote matako Walikatazwa toka days za bano Cops n robbers si popo ni pano Talanta ni real nipate kwa tracks na kimbiza mills Sinanga ka deal lakini ni facts na lipanga bills Kuhata ma meals thats in the past na winda na kill Kijana na gills vako za shark nikipiga ma drill Back in the Ville wanajua ni na rap hawadhani ni skill Nakuja na team nipate kwa map sitokangi nill Hakuna ku chill zabe na trap si number ni till Chasin' the dream vile inafaa napenda the thrill Kichwa ni heavy design ya King Mohammad Ali Kijana na sting Daily ni wera nipate kwa ring Cheki wanapenda ma vako na bring Mbona ku dhani na beba da ting Cheki ku tense na kuhepa kwa scene Karu da nigga sinanga machine Lakini wanapenda ma vako na bring Kichwa ni heavy design Mawazo ni mengi zingine za crime Cheki si zote divine Lakini ikijipa 'tabidi na shine Daily nipate na grind Wera nachapa na ego na pride Ma morio ni wengi kwa tribe Hakuna ka mbleina utapata this side Na rada za kwetu hu vibe Ukiwa tu area utahitaji tu guide Daily unasema una ride Ngori ikikam i hope uta hide Venye nacheki the signs Ndani una gwaya mbona walai Venye nacheki the signs Chunga usi mblein ni kitu sidai Vako naleta wanasema ni crazy they like it like this Morio ali mblein alinitoka ma tire he turned to a bitch Alikafunga kuomoka ni daily I hope that he rich Venye na leta hakuna vingine thats why ni na preach Kitu sinanga nashukuru Mola ni damu ya snitch Nyoka ni nyingi weh fyeka tu nyasi ukifika kwa pitch Karu da G kutoka zamani siwezi ka switch Take over the game i hope uko rada usiseme ni glitch Kichwa ni heavy design ya King Mohammad Ali Kijana na sting Daily ni wera nipate kwa ring Cheki wanapenda ma vako na bring Mbona ku dhani na beba da ting Cheki ku tense na kuhepa kwa scene Karu da nigga sinanga machine Lakini wanapenda ma vako na bring
Sanatçı: Karu Black
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:33
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Karu Black hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı