karu black preach şarkı sözleri
Ey ey ey
Black in the building
Black potion
Wiz on the mix
Let's go
Kama ni passion pleasure na pain zinafanya nakosa tu peace
Vile na trip ikigonga kwa brain wanadhani ni kitu na sniff
Nikitaka ku drip na nidunge ma chain mangoto na mbota kwa wrist
Labda ni passion pleasure na pain zinafanya tu daily na preach
Napenda miradi kuzoza kwa streets
Stacking the paper kuhepa ma beast
Watu sipendi matoathi ma bitch
Sinanga chuki me hueka kwa leash
Nakuanga tu wera but leo tu na feast
Utamu wa foodie ni chumvi atleast
Kinywaji ni safi na ladha ni crisp
Up in my game na sijali na list
Beat inagonga tu vile napenda
Mbleina akipiga ile simu nalenga
Mradi inaivana nachora agenda
Mola ameweza wabanje ni tender
Black in the building wa rade mapema
Me niko biz ata ka ni na tema
Vako za kwangu ukiwaza utahema
Fuata wagenge si wale wahenga
Skiza kiongozi mistari ni facts
Rende ni nare we loyal to pacts
Si wale ma nigga pretenders who act
When you turn around n they stab you in the back
Stab you in the back
Stab you in the back
Ukijituma just go to the max
Ujana ni moshi you only live once
Ujana ni moshi you only live once
Kama ni passion pleasure na pain zinafanya nakosa tu peace
Vile na trip ikigonga kwa brain wanadhani ni kitu na sniff
Nikitaka ku drip na nidunge ma chain mangoto na mbota kwa wrist
Labda ni passion pleasure na pain zinafanya tu daily na preach
Kama ni passion pleasure na pain saa zingine inakuja na stain
Vile na trip ikigonga kwa brain ni ka nimechapa caffein
Nikitaka ku drip na nidunge ma chain cheki ntafanya no shame
Nikitema na preach na sitaji ma name unataka ni fanye for fame
Karu daktari na wapa tu dose i could tell that you needed a hit
Siku ni nyingi they longing i know tellem na kuja na fix
Mboka ni nyingi si pupa ni slow zote ni part of the mix
Pale kwa mneti for clout na dough I see what they do for the clicks
Toka amani you turning the page
Mziki ya nini na hukuji na tape
Rada ni gani you becoming a slave
Achana na doba na uende uka shave
Tape ni mbwekse ndio Album wa taste
Kiongozi ku nena so wacha wa paste
Niko tu mboka we raising the stakes
Usiseme na chizi weh twende na pace
Kama ni passion pleasure na pain zinafanya nakosa tu peace
Vile na trip ikigonga kwa brain wanadhani ni kitu na sniff
Nikitaka ku drip na nidunge ma chain mangoto na mbota kwa wrist
Labda ni passion pleasure na pain zinafanya tu daily na preach
Kama ni passion pleasure na pain zinafanya nakosa tu peace
Vile na trip ikigonga kwa brain wanadhani ni kitu na sniff
Nikitaka ku drip na nidunge ma chain mangoto na mbota kwa wrist
Labda ni passion pleasure na pain zinafanya tu daily na preach
Ey ey ey
Karu Black
Y'know
Check