karura voices hapa sitoki şarkı sözleri

Nilitafuta, nasikupata, anayejaza moyo Wangu (Na Amani) Nilizunguka duniani, nikitafuta (Cha dhamani) Mpaka nilipo, fika hapa uweponi mwako Hapa nilipo, kwako baba, kivulini mwako Hapa hapa sitoki Hapa hapa sijuti Hapa pana uzima, wa milele Nilitafuta, nasikupata, anayejaza moyo Wangu (Na Amani) Nilizunguka duniani, nikitafuta (Cha dhamani) Mpaka nilipo, fika hapa uweponi mwako Hapa nilipo, kwako baba, kivulini mwako Hapa hapa sitoki Hapa hapa sijuti Hapa pana uzima, wa milele Wa milele wa milele Mungu wa baraka ni Nani Wa milele wa milele Mungu wa baraka ni Yesu Anaweza, kunichukua kuniosha dhambi Anaye weza kuniondoa kwenye mashimo Anayeweza kunipanguza mavumbi yangu yote Anayeweza kunisamehe dhambi zangu zote
Sanatçı: Karura Voices
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 5:50
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Karura Voices hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı