karura voices kalivari şarkı sözleri
Nimepata Kibali
Kwa kudharauliwa kwako
Mangonjwa yangu yameponywa Kwa mapigo uliyo yapata
Huzuni yangu ulibeba
Kwa masikitiko yako
Kalivari Kalivari
Hapo yote yalikwisha
Dhabihu yako inatosha
Nimesamehewa ni huru
Kalivari, Kalivari, hapo yote yalikwisha

