karura voices ulisema şarkı sözleri

Wewe Sio binadamu, Wala Sio sanamu Unasikia unaongea unatembea Ulichosema ninaamini utanitendea Huwachi kitu katikati ,Huwachi mtu njiani Wewe mwaminifu Kukamilisha ulichoanzisha Wewe mwaminifu Baba Nashikilia maneno Baba ulisema Nashikilia ahadi Nashikilia maneno Baba ulisema Nashikilia Imani Ulisema ,ulisema Baba Ulisema Ahadi zako Ni Yeeh Na Amina Ulisema ,ulisema Baba Ulisema na ukisema Baba utatimiza Ulisema na ukisema Baba utatimiza Wewe Sio binadamu, Wala Sio sanamu Unasikia unaongea unatembea Ulichosema ninaamini utanitendea Huwachi kitu katikati ,Huwachi mtu njiani Wewe mwaminifu Kukamilisha ulichoanzisha Wewe mwaminifu Baba Nashikilia maneno Baba ulisema Nashikilia Ahadi Nashikilia maneno Baba ulisema Nashikilia Imani Ulisema ,ulisema Baba Ulisema Ahadi zako Ni Yeeh Na Amina Ulisema ,ulisema Baba Ulisema na ukisema Baba utatimiza Ulisema na ukisema Baba utatimiza
Sanatçı: Karura Voices
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:54
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Karura Voices hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı