karura voices unayejali şarkı sözleri

Mungu unayesikia kilio cha wana wako Sikia, sikia Mungu unayesikia maombi ya wana wako Sikia,sikia Mungu unayetatua shida za moyo wangu Tatua, tatua Mungu unayeona harI'mu na haki Angalia,angalia Machozi yangu utapanguza Maumivu ya moyo utayaponya Aibu yangu utaondoa Unayejali Mungu unayejali Mungu unayejali Machozi yangu utapanguza Maumivu ya moyo utayaponya Aibu yangu utaondoa Unayejali Mungu unayejali Mungu unayejali
Sanatçı: Karura Voices
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:16
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Karura Voices hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı