kasha balaa şarkı sözleri

Ka' kuna sherehe wajua mi sikosi Maridadi kama kawa 'toka utosi Nyota navyong'aa, huu mng'aro kwenye ngozi Nashtua, nasumbua, mchokozi Ka' kumeboesha nafufua mkombozi Najitokeza chali yako ana machozi Hakuna foleni 'kiwa hizi nd'o mapozi Usiku ni wetu… mimi, mwezi na kikosi Disko balaa, DJ balaa, Mwili balaa, Mahaba balaa Disko balaa, DJ balaa, Mwili balaa, Mahaba balaa 'Partyafterparty' toka Alhamisi Mama yuauliza "Hili rinda ama kamisi" Nguo mitumba ila shape ni halisi Chunga chali yako ashaniita lazizi Cheche tele, bado sijashika chupa Wazuri tele, ni vigumu kuchagua Kiuno kiachilie, densi kuchafua Hakuna shida muziki hutotatua Disko balaa, DJ balaa, Mwili balaa, Mahaba balaa Disko balaa, DJ balaa, Mwili balaa, Mahaba balaa Daraja daraja, sakata, hili daraja Daraja daraja, sakata, hili daraja Daraja daraja, sakata, hili daraja Daraja daraja, sakata, hili daraja Disko balaa, DJ balaa, Mwili balaa, Mahaba balaa Disko balaa, DJ balaa, Mwili balaa, Mahaba balaa Usiku ni wetu… mimi, mwezi na kikosi Usiku ni wetu… mimi, mwezi na kikosi Usiku ni wetu… mimi, mwezi na kikosi Zilizala yaja, hakuna kulala Zilizala yaja, hakuna kulala Zilizala yaja, hakuna kulala Zilizala yaja, hakuna kulala Usiku kaleta leta leta balaa Usiku kaleta leta leta balaa Usiku kaleta leta leta balaa Usiku kaleta leta leta balaa
Sanatçı: kasha
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:36
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
kasha hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı