kasha silaha şarkı sözleri

Niwe vipi Nishatubu, nishasulubiwa Imebidi nihesabu subira Imezidi, najitolea najikwaa Oh niwe vipi Niwe mtupu, niwe bila Imebidi niwe mkavu kila kila Imezidi, najitolea najikwaa Hasira hasara Niwe mpole Niwe yaani kama mi nina mabawa Astafirughla Ya ni' na usipopigana Utajipata we nd’o una jeraha Hasira hasara Hasira ni silaha Tiki tiki bomu Mawingu radi na homu Na sina hata ngao Maisha ina maovu Mishale tu na makovu Ugomvi ndo makao Kusema ukweli Amani ilienda na meli Hasira hasara Niwe mpole, Niwe yaani kama mi nina mabawa Astafirughla Ya ni' na usipopigana Utajipata we nd’o una jeraha Hasira hasara Hasira ni silaha
Sanatçı: kasha
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:20
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
kasha hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı