kassumpa adrian machati aibu şarkı sözleri
(Kassu)
We dada uswahilini unaboa
Bingwa wa vigodoro mtaani
Za watu unavunja ndoa (ndoa.. eeh)
Na shape lako la kufoji
Cream imeharibu sura
Kutwa kujipodoa (kujipodoa eeh)
Umefukuzwa hulipi kodi
Nyumba ulopanga
We dada Changudoa
Umenishinda tabia
Umefumwa na balozi
Nani atakuoa
Na..
Madada wa mjini siku hizi mapambano
Wapo zao bize Road
We danga la mjini ulokosa msimamo
Chakula ya Panya Road
Aah Aahh Aibu
Mambo unayofanya hayaendani katubu
We mwana mrudie Jehova
Mambo unayofanya hayaendani Aibu
Aah Aahh Aibu
Mambo unayofanya hayaendani katubu
We mwana mrudie Jehova
Mambo unayofanya hayaendani Aibu
We kwanza huchagui danga
Ona unavyowapanga
Juzi umempa mganga (aibu huna)
Na nyumba zetu za kupanga
Juu hakuna dari
Basi punguza milio
Yako umeumbiwa au kwa ndondi
Licha ya kufumwa
Hivi wewe huchoki (aibu huna)
Kichwa juu ka' gari moshi
Mbagala mawasiliano
Licha ya kusutwa huchoki (aibu huna)
Na..
Madada wa mjini siku hizi mapambano
Wapo zao bize Road
We danga la mjini ulokosa msimamo
Chakula ya Panya Road
Aah Aahh Aibu
Mambo unayofanya hayaendani katubu (Ooh Katubu)
We mwana mrudie Jehova
Mambo unayofanya hayaendani Aibu (ooh aibu)
Aah Aahh Aibu
Mambo unayofanya hayaendani katubu (Ooh Katubu)
We mwana mrudie Jehova
Mambo unayofanya hayaendani Aibu (ooh aibu)
(Asaa)..
Kavua dera katoa nyonyo (mwache huyo)
(Yaani)..
Kapewa hela katoa nono (hashikiki huyo)
(Asaa)..
Kavua dera katoa nyonyo (mwache huyo)
(Yaani)..
Kapewa hela katoa nono (hashikiki huyo)
(Wahuni)..
Kavua dera katoa nyonyo (mwache huyo)
(Aisee)
Kapewa hela katoa nono (hashikiki huyo)
(Kassu)

