kassumpa adrian machati poison şarkı sözleri
Iyeeiyeeh
(Kassu)
Mmmmmmh
Mmmmmmh
Yeah
Walah sikutarajia
Kama leo tutaongea
Ka' dose ishaingia
Taratibu inakolea (heeyy)
Kwani nimepewa nini
Mbona mwanzo niliona kama ni kawaida
Jeuri sina ubishi sina
Najikuta nimedata
Sikujua kwamba wewe utanifaa
Kumbe uzuri wako upo undercover
Nimegundua na nathibitisha
Nikikukosa we nitajikondesha
You know.. nikiwa na we
You know.. tutafanya maisha
You know.. nikikukosa we
You know.. nitababaisha
You know.. nikiwa na we
You know.. tutafanya maisha
You know.. nikikukosa we
You know.. nitabahatisha
Ama umenipa poison
(Hivi umenipa Sumu)
Poison
(Baby umenipa Sumu)
Ama umenipa Poison
(Eti umenipa Sumu)
Poison
(Baby umenipa Sumu)
Ama umenipa Poison
(Hivi umenipa Sumu)
Poison
(Kweli umenipa Sumu)
Ama umenipa Poison
(Baby umenipa Sumu)
Poison
(Eti umenipa Sumu)
#INSTRUMENTAL
Imekuwa kila siku kila saa
Namuwaza yeye (Namuwaza yeye)
Nishaacha utukutu nashangaa
Kabaki mwenyewe (Mwenyewe)
Niliminyaminya sana Nyanya
Kumbe Bilinganya ndilo linalonifaa
Nishajichanganya sana na wasichana
Kumbe napoteza muda
Sijajua ni kwa swala au ndumba
Zimefanya kan'teka mchumba
Ama nimelevya dawa unga
Maana nisije nikapagawa chunga
You know.. nikiwa na we
You know.. tutafanya maisha
You know.. nikikukosa we
You know.. nitababaisha
You know.. nikiwa na we
You know.. tutafanya maisha
You know.. nikikukosa we
You know.. nitabahatisha
Ama umenipa poison
(Hivi umenipa Sumu)
Poison
(Baby umenipa Sumu)
Ama umenipa Poison
(Eti umenipa Sumu)
Poison
(Baby umenipa Sumu)
Ama umenipa Poison
(Hivi umenipa Sumu)
Poison
(Kweli umenipa Sumu)
Ama umenipa Poison
(Baby umenipa Sumu)
Poison
(Eti umenipa Sumu)
Planner nana
Umenipa Sumu
Umenipa Sumu
(Kassu)
Uuuuuuuuuuuh
Uuuuuuuuuuhhh
#INSTRUMENTAL

