kauzii msoto şarkı sözleri

Eiyoo Awo Diambo - skiza Ina itwa recession ilileta depression Opression na Joblesnisation Wazi niliwaga juu ya msoto tu man Mawazo tu man mradi ita toka wapi tu man Nimesota nimesota nimesota nimesota Mpaka mkononi manze sina mbota Fegi za kusokota ndio mi uburuta Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota Nimesota nimesota nimesota nimesota Mpaka mkononi manze sina mbota Fegi za kusokota ndio mi uburuta Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota Ni maisha gani hii mi na tia bidii Lakini hakuna kitu yoyote najaribu ina ingiana dadii Nina madeni mob nabado sijapata job (Desperation) inafanya mi na hisia kusanya Je raia wakinifanyia mob justice kuninyuria ki target practise Ama nikuwe hunted mtaani wanted na staki kuwa kamated Juu msaliti aliapa ati ni mnatty mwenye machette basi sharti Maiaka twenty kwa simiti ya kamiti upokee vijiti na miti Nimesota nimesota nimesota nimesota Mpaka mkononi manze sina mbota Fegi za kusokota ndio mi uburuta Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota Nimesota nimesota nimesota nimesota Mpaka mkononi manze sina mbota Fegi za kusokota ndio mi uburuta Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota Asubui saa moja na nimekazwa na haja Siwezi toka kwa keja mbele ndani ya ploiti kuna vioja Landlodi pamoja na mabodii wamengara mahoodi hodi hodi Wanasema leo lazima kodi wanabisha kisha wananitisha Wakichungulia kwa dirisha na kunichongoa kuhakikisha Siwjajificha ndani jamani, yaani hii maisha inanitisha Izi vikwazo ambazo ninazo zinani bamboozle my mawazo Tafadhali sir godmaze nionyeshe nyota Nimesota nimesota nimesota nimesota Mpaka mkononi manze sina mbota Fegi za kusokota ndio mi uburuta Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota Nimesota nimesota nimesota nimesota Mpaka mkononi manze sina mbota Fegi za kusokota ndio mi uburuta Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota Saa tisa mchana jivanjee nimechoka na pumzika Nimeshinda masuffer tao mzimana solar ina mulika Maze ako kapienga ka obriska nimechoma kameshika Niki saniff kuna mbegu chache zilisahaulika Zinalipuka off guard nastuka mpaka macho zinakondoka Sina mate mdomo imekauka mpaka lips zimechubuka Nimeseat kwa heat na ubao kaa shit na mahongo zimepita na mmango Na ata sina mpango zakunganisha mabango Nimesota nimesota nimesota nimesota Mpaka mkononi manze sina mbota Fegi za kusokota ndio mi uburuta Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota Nimesota nimesota nimesota nimesota Mpaka mkononi manze sina mbota Fegi za kusokota ndio mi uburuta Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota Ma qualification zimelaza kende kwa keja Zina changa vumbi tu ii storii ni major Kwa interview ati mi ni overqualified kwingine not satisfied Walai stress zina multiply nikidai wooi gai why Mashida za mine combine ni mob kama nguo kwa line Ma sarakasi zilinifuata kwa kasi up to uku majuu Na system imenikanyagia kama matope - chini ya njumuu Mbuyu life imekuwa ngumu humu nashuku kama nita dumu Nimesota nimesota nimesota nimesota Mpaka mkononi manze sina mbota Fegi za kusokota ndio mi uburuta Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota Nimesota nimesota nimesota nimesota Mpaka mkononi manze sina mbota Fegi za kusokota ndio mi uburuta Mi uota kanime osa kwa usingizi niki ng'orota Matatu zangu tatu home kwetu hazipandwa na watu Sai mi ni sufferer fukara juu ya biashara za hasara Na ma hasira kwa barabara kukuru-Kakara Mpaka wasapere wakinicheki wanasema (Ona ire faraa) Sindio iyo sato maiko alinikiche coventry mako Akashindwa ni nini na do kwa uduko ya matobbaco Ni msoto si vaco nikisokota kiraiko kwa soko Akaniwai pako ya embako na chengiko yote mfuko
Sanatçı: Kauzii
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi:
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Kauzii hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı