kays kanungo şarkı sözleri
Kanungo yaawa, kanungo Ber ber ber
Ole Who? Ole Sitipin!
Pale Tik Tok, si wee unatu challenge
Na hizo dance moves zako savage
Umebonga na sisi na body language
Kiakili si ushaa tu damage
Your Kanungo bila tyre, sets the internet on fire
Make the other slay queens retire, wee ni mambo mbaya, because of your...
Kanungo, [Yiengino] Wanatingisha tu kanungo Yiengo
Kanungo, [Yiengino] Wanatingisha tu kanungo Yiengo kanungo

Si ulitaka sii tukupe likes, so go ahead girl and move your waist line
Nacheki future yako iko bright, kama tu Shakira hips don't lie
Na usivae magaha za vako, si unajua utachoma picha
Si hizo ndogo ni zako nyako, You never know with time zitakuwa bigger
Your Kanungo bila tyre, sets the internet on fire
Make the other slay queens retire, wee ni mambo mbaya, because of your...
Kanungo, [Yiengino] Wanatingisha tu kanungo Yiengo
Kanungo, [Yiengino] Wanatingisha tu kanungo Yiengo kanungo
Kanungo, [Yiengino] Wanatingisha tu kanungo Yiengo
Kanungo, [Yiengino] Wanatingisha tu kanungo Yiengo kanungo
Wahero mano, kanungo no nyalo
Pale Tik Tok, si wee unatu challenge
Na hizo dance moves zako savage
Umebonga na sisi na body language
Kiakili si ushaa tu damage
Your Kanungo bila tyre, sets the internet on fire
Make the other slay queens retire, wee ni mambo mbaya, because of your...
Kanungo, [Yiengino] Wanatingisha tu kanungo Ahero mano
Kanungo, [Yiengino] Wanatingisha tu kanungo Yiengo kanungo
Kanungo, [Yiengino] Wanatingisha tu kanungo Kanungo no nyalo

Kanungo