kays wanachoma picha şarkı sözleri

Wanalea vitambi Raia wamesota, aargh, ati wanalea vipaji na wasanii wamesota Param Param Param Param, Param Param Param Param Param Param Param, Param Param Param Wa, wa, wanajichocha kisha, wanaimba ma offkey wanabahatisha, woiyee Wanatuaibisha, no wonder huko nje hatuwezi shinda, aaje Ali buy mzinga, nikaomba ka toti akaninyima Sahii, anatapika ka ugali skuma kale alishika Wanachoma pikicha, unadhani ni figa kumbe ni fake digida, bum bum Wanatuingiza, ati born tao na ni nyasuguta Wanachoma Picha, Cheki vile wanachoma picha Wanachoma Picha, Cheki vile wanachoma picha Wanachoma Picha, Cheki vile wanachoma picha Wanachoma Picha, Cheki vile wanachoma picha De, de, dem, Damme, hana makosa Amesoma hakunanga kitu amekosa, ako bien Anatafuta sponsor, juu chali yake bado chini hajaosa Usiku mzima nyerere mchana P2, Pigwa miti ndio upate kakitu Umevalia dress lakini ni see-through, vile unakatika sisemi kitu Cheki vile wanamagaanga, Kila siku kashfa na mavisaanga Watotoo wanabakaanga, wakisota wanafika kwa wagaanga Wanachoma Picha, Cheki vile wanachoma picha Wanachoma Picha, Cheki vile wanachoma picha Wanachoma Picha, Cheki vile wanachoma picha Wanachoma Picha, Cheki vile wanachoma picha Wanachomaa, cheki vile wanachomaa,wanachoma picha Wanachomaa, cheki vile wanachomaa, wanachoma pikicha Wanachomaa, cheki vile wanachomaa, wanachoma picha Wanachomaa, cheki vile wanachomaa, wanachoma pikicha Cheki vile wanamagaanga, Kila siku kashfa na mavisaanga Watotoo wanabakaanga, wakisota wanafika kwa wagaanga Wanachoma Picha, yeah, Cheki vile wanachoma picha, wanaunguza man Wanachoma Picha, Eeh, Cheki vile wanachoma picha, Wanafanyaaje Wanachoma Picha, yeah, Cheki vile wanachoma picha, wanaunguza man Wanachoma Picha, Eeh, Cheki vile wanachoma picha, C'mon Picha C'mon, ati wanalea vipaji na wasanii wamesota, hahaa, whoo
Sanatçı: Kays
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:55
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Kays hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı