kayumba gentleman şarkı sözleri
labda amenisafiria malimbwata na mivuto sijui
Au mola amenikutanisha na mama wa mwanangu sijui
maana moyo ameugaragaza ameufanya nini sijui Chake chungu siepuiiiii
Mambo poaa,
Sasa nitaoa,
Salamu ziende kwa mama,
Mwanae nimekuwa,
Mambo poaa,
Washakaji naoa,
Ule utoto wa makuzi basi
Wanangu tumekuwa
Skuizi tunakwenda ki GENTLEMAN
Mmmmmmmh ki GENTLEMAN
GENTLEMAN, GENTLEMAN
AM I GENTLEMAN
GENTLEMAN mmmmh
GENTLEMAN OOOH gentra
GENTLEMAN
Kama kweli una couple mpost mwenzako.
Ooh my baby lalalalala lalaiii
nafanya chochote ili nikuone unafrahi
no exchuse, Yani no bay bay usije sema bay bay
akinuna yess nam bembelezaaa,coz my job
Nampa muda wangu namsikiliza its my job
She is my best friend
she is my only one
African girl number one oneeee
yupo na Gentlema
Mambo poaa,
Washakaji naoa,
Ule utoto wa makuzi basi
Wanangu tumekuwa
Skuizi tunakwenda ki GENTLEMAN
Mmmmmmmh ki GENTLEMAN
GENTLEMAN, GENTLEMAN
AM I GENTLEMAN
GENTLEMAN mmmmh
GENTLEMAN OOOH gentle
GENTLEMAN
Kama kweli una couple mpost mwenzako.