kazen segonja asante şarkı sözleri

Asante Asante Nakushukuru Kwa Mema uliyotenda kwangu Haufananishwi Haulinganishwi Wewe ni zaid ya Yeyote Wewe ni Bwana mkubwa You're the God of miracles You have super natural Love You'er majesty mediator my seviour You're the God of miracles You have super natural Love You'er majesty mediator my seviour Bwana wangu wewe umenitendea mema yote Umenikumbuka siku zote Haujawahi kunisahau Umenipa hatua Maarifa Amani ya moyo wangu Umenijibu katika mengi Ambayo baba nimekuomba Siwezi laumu katika yale Ambayo mi nahisi hauja nijibu Mana kuna mengi umenipa naamini Baba sikukuomba Umenipa maarifa na akili ili kuendana na mazingira Naiona kesho ya baraka ambayo Mungu umeniandalia Asante Dady asante eeeh! Asante Dady asante eeeh! Nakushukuru nakushukuru Asante Dady asante eeeh! Asante Dady asante eeeh! Kuna siku nilikaa pale nikalia Ukaniambia nyamaza Mwanangu Hiki ni kipindi kinapita tu Kuna mahali nimekuandalia Katikati ya jua Kali Ukafanyika kivuli Ulinipa ushindi katikati ya adui zangu Umenipa maisha Asante Baba Dady God eeh shukurani zangu zifike mbinguni uliipo Baba yangu usikie Mwanao nimekushukuru katika yoote Dady God eeh shukurani zangu zifike mbinguni uliipo Baba yangu usikie Mwanao nimekushukuru katika yoote Asante Dady asante eeeh! Asante Dady asante eeeh! Nakushukuru kwa mema yote Asante Dady asante eeeh! Nakushukuru Elishadai Adonai Jehova Asante Dady asante eeeh! Haufananishwi Haulinganishwi Wewe ni zaid ya Yeyote Wewe ni Bwana mkubwa
Sanatçı: Kazen segonja
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:38
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Kazen segonja hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı