kc kangiri halima şarkı sözleri

Alisema jina lake ni halima Halima Aki walae wanifanya me mjinga Yea Yea Baby Sura yako Faya Faya Wafanya ma vijana wana Gwaya Gwaya Na tabasamu lako baby Tamu sana Mawazoni umekwama Me nisha pagawa Najua waniwaza pia But baby You just Too damn proud So imma be the Engineer Of this new found love Nipende Nipende Nipende Staki ma pressure Raha mimi ndo nasaka Nikiwa nawe yote mimi naipata Nawaka waka baby mimi nakudata Nitakazana hadi siku ntakupata Umenikwama hadi damu inaniganda We ni wa Rwanda kenya ama Uganda Na tukivibe si unajua itakua blanda Ju ki designer itabaki nmekupanda Mficha uchi hazai Na mimi nakudai nakudai So baby cheza nice Nikuvibe na malines Compromise Kama love ni vice baby Nipende Nipende Nipende Wacha china Love yangu original Friend zone Staki story za umorio Urimo Niko ready nipe signal Wacha ku ignore Nimechoka So baby we kubali nachosema Masiku zinakuja zikienda Usikubali baby tukule calendar Ju wenye wivu watakuja kututenga So baby mbona unikatae Nimengoja sana leo U Nipende Nipende Nipende Nipende Right now am feeling You you you Ndani ndani yani kwenye Rohoho Ukiwa mbali nakuwaza yani Thoughts on you Na sio mwili yako baby but your soul Oh baby you should know Vile me huhisi jooh Nitulize roho I'll be holding on to you
Sanatçı: Kc kangiri
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:03
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Kc kangiri hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı