kc kangiri seti niku nyam şarkı sözleri
Staki vodo me nataka lolo
Ukidai fika kejani me na wewe solo
Lately kuna vile naboeka
Lakini me and you io convo inaweza
Unatakaje?
Sinikugware
Niwashe nare kisha ndo tusare
Weather ikiweza uneza fika na ka sweater
Haha nakam
On you way shika shash
Ka unadai ntakuburn
Hizi story za wa ras
Me huseti kabla match
Ama wakiendanga church
Ndo nakaushanga stash
Na mashuksha ndio starch
Ni heshima za uras
So inabidi
Niseti nikinyam
Inabidi niseti nikinyam
Seti nikinyam
Siku njema ni kuseti na kunyam
Basi we si useti nikunyam
Haha aki wewe
Seti nikunyam
Si useti nikunyam
Aki wewe
Shika yam
Alafu unipe tam
Ju nina hamu ya kuseti nikinyam
Kunyimana hio mali inakuanga ni haram
Huwezi wacha boychild ajinyonge ki sadam
Shika more
Mara saba
Shika more
Apa akuna uhaba
Social distance ni kutumia rubber
Pako saba na we sio ka
Wacha ibambe geuka nikupange
Iweke juu nami nidelive package
Mambo ratchet njua we ni savage
Niko shingo upande nashuku utanidamage
Mmh we tulia kwani unaingizia
Na vile nilithani ati umenchizia
Aah we wacha nisha tulia wacha kulia
Basi wacha me niseti nikinyam
Haha aki wewe
Seti nikunyam
Si useti nikunyam
Aki wewe
Mali safi hudai kazi safi
Taratibu
Mchezo haitaki ulafi
Ntakutibu
Si naskia una vafi
Wasiwasi ya nini
Lets be happy
We ni kifaa
We ni kifaa
Nimekufia bithaa
Izo bithaa
Si unajua niko ithaa
Hi ndo ithaa
Ya kuseti na kupaa
Basi wacha me niseti nikinyam
Haha aki wewe
Seti nikunyam
Si useti nikunyam
Aki wewe