kc kangiri wacha waseme (feat. ndovu kuu) şarkı sözleri
Yeiiiiii
Yeii yea
Babyyy iiih baby
Yeea
Ju ni wewe
Ni weweeh yeeah
Usha niwai usha niwai baby girl nakudai
Aki walae uko fine sio lie
Si unikaribie tu niseme nawe
Ukue mine wameze wembe
Sijui kwani umeniwekea tembe
Na kila siku kama sukuma na sembe
Na wanapiga domo nilimea pembe
Wacha wabonge waki baki nyuma tuko lembe
Usha niweza baby na tabia zako tu zinapendeza
Basi twende chini ngoma yangu ikicheza
Kama wana wivu basi wembe watameza
Razor
Yes i really really like you
Swear i never ever seen nobody pretty like you
Sitakudanganya niko true i never lie to you
Nipe tu wakati kisha nikuite my boo
Yea mpenzii
Achana nao baby wacha waseme
Tuko wawili baby mimi na wewe
Tusiwachane baby mpaka milele
Mpaka milele wacha waseme
Achana nao baby wacha waseme
Tuko wawili baby mimi na wewe
Tusiwachane baby mpaka milele
Mpaka milele wacha waseme
Baby uliniweza na vile we hufanya me hudeka
Nakuwaza kwa mapenzi nimebleki
Roho yangu me nakupa usini seti
Nipe yako na kwa mola iwe kesi
Makeki na mathwiti uniseti
Story za ma hater piga deki
We kifaa unanifaa uko fiti maam
Utamu wa ndoa makelele ya bibi
Si vile we hufanya mtaani me huchizi
Wasoro walithani nitakwama kwa ufisi
But baby ulinitoa na kwa ngoro niko poa
Mangoko wanangoa nikisema nimeoa
Ju mangoto nimetoa kwenye pete nisha poa
Na machette nisha toa kuwakatanisha oya
Ni mimi na wewe so wacha waseme
Achana nao baby wacha waseme
Tuko wawili baby mimi na wewe
Tusiwachane baby mpaka milele
Mpaka milele wacha waseme
Achana nao baby wacha waseme
Tuko wawili baby mimi na wewe
Tusiwachane baby mpaka milele
Mpaka milele wacha waseme
Nimekubal kuna venye nakucheki baby kwa umbali
Kwanza venye umejibebanga nisha tamani
Na mafisi fisi jo ni wengi wakudai
Watahisi hisi jo ku uugh wata die
Lemme see your beauty turn around
And you know i love it when you come around
Tonight you know i wanna take you down down down
Mpenzi by you i feel loved every day
Ni mimi na wewe mpaka milele
Mpenzi by you i feel loved every day
Ni mimi na wewe mpaka
Achana nao baby wacha waseme
Tuko wawili baby mimi na wewe
Tusiwachane baby mpaka milele
Mpaka milele wacha waseme
Achana nao baby wacha waseme
Tuko wawili baby mimi na wewe
Tusiwachane baby mpaka milele
Mpaka milele wacha waseme
Wacha waseme
Ni wewe ni weweeh
Mpaka milele
Babyy iih mpenzi
Tonight you know i wanna take you down down down