kcm worship hakuna jina şarkı sözleri

Hakuna jina lingine Jina lako Yesu Lina Uweza Ipo nguvu kwenye jina lako Ambayo haifananishwi Upo Ukuu katika jina lako Ambao haulinganishwi Wagonjwa wanapona, wanawekwa huru Kwa jina la Yesu Hili jina Yesu linaponya yote Hakuna jina lingine Jina lako Yesu Lina Uweza Kwa hilo jina kila goti na lipigwe Na ulimi unakiri wee ni Bwana Kwa hilo jina kila goti na lipigwe Na ulimi unakiri wee ni Bwana Umestahili Umestahili Na hakuna wa kufanana nawe Hakuna jina lingine Jina lako Yesu Lina Uweza Linaweza Linaweza Linaweza Linaweza Hakuna jina lingine Jina lako Yesu Lina Uweza Latawala Latawala Latawala Latawala Hakuna jina lingine Jina lako Yesu Lina Uweza Linaponya Linaponya Linaponya Linaponya Hakuna jina lingine Jina lako Yesu Lina Uweza Lasamehe Lasamehe Lasamehe Lasamehe Hakuna jina lingine Jina lako Yesu Lina Uweza
Sanatçı: KCM Worship
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 7:37
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
KCM Worship hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı