kcm worship mzee wa siku şarkı sözleri

Mzee wa siku Muweza yote Mfalme wa waflame Muumba ulimwengu Huhitaji chochote ili uwepo Baba wa milele Watuwazia mema siku zote Nani kama wewe Mtakatifu Wewe ni Mungu Twaimba Hosana Kwako Bwana Huhitaji chochote ili uwepo Baba wa milele Watuwazia mema siku zote Nani kama wewe
Sanatçı: KCM Worship
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 8:09
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
KCM Worship hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı