lambo jini love is true şarkı sözleri
It's magic music
Ink is amazing
Will you hold me tonight
I like your body so nice
Been waiting all this while ye ye ye ye
And if loving is a crime
A bullet upon my spine
Girl I love the way you whine ye ye ye ye
Yani mpaka tunafanana
Uno shape labanabana
Wazo la kukuacha ndo sina dear dear ayaya ya ya
Yani kama kazaliwa jana
Anazidipendeza sana
Nguvu za kumwacha ndo sina pia pia ayaya ya ya
Mwenzako nayajua machungu
Upendo uchanganye na wivu
Baraka tupate kwa mungu nawe
Tena kitandani mi mtundu
Tuwakomeshe wenye gubu
Kwenye penzi nimetubu ni wee
Wee ndo nakupenda boo
Nakupenda tu, nakupenda tu
Basi sema yes I do
And my love is true
And my love is true
Ni wewe ndo napenda tu
Nakupenda tu, Nakupenda tu
Basi sema yes I do
And my love is true
And my love is true
Nishauasi ujana
Niwe na wewe
Niwe baba uwe mama yee
Wee ndo nuru yangu kwenye giza nimulikie
Wee ndo joto langu nahisi baridi nikumbatie
Wee ndo nuru yangu kwenye giza nimulikie
Wee ndo joto langu nahisi baridi nikumbatie
Mwenzako nayajua machungu
Upendo uchanganye na wivu
Baraka tupate kwa mungu na wee
Tena kitandani mi mtundu
Tuwakomeshe wenye gubu
Kwenye penzi nimetubu ni wee
Wee ndo nakupenda boo
Nakupenda tu, nakupenda tu
Basi sema yes I do
And my love is true
And my love is true
Ni wewe ndo napenda tu
Nakupenda tu, Nakupenda tu
Basi sema yes I do
And my love is true
And my love is true
Wee ndo nakupenda boo
Basi sema yes I do
Ni wewe ndo napenda tu
Basi sema yes I do