lambo jini sherii şarkı sözleri
It's magic music
Ink is amazing
Mwenzako si ningependa niwe nawe
Siku zote, tuwe wote
Hali yangu si chochote
Ayoyoo
Zile jembe bado nami
Zamashambani, ndo zanikidhi
Hapajabadilikaga lolote
Ila tofauti yako na wale
Ni malezi yako, baby
Wengine wakitaka tuachane
Unaning'ang'ania sherii
Tofauti yako na wale
Ni malezi yako, baby
Wengine wakitaka tuachane
Unaning'ang'ania sherii
The way you love me najidai
I swear I'm gonna love you till I die
For your love I can't deny
Baby, no denial
Nitafanya lolote sawa
Naomba univumilie, vumilie
Nitapata hata kama kidogo
Naomba univumilie, vumilie
Hata kama sileo basi kesho
Naomba univumilie, vumilie
Nitapata hata kama kidogo
Naomba univumilie, vumilie
Baby, I'm in love with you
Mapenzi unayo nipa najihisi fahari
I will never let you go
Kwako nimeshafika, nimeshaweka nukta
Mapenzi ya kweli
Ni kweli
Mimi nimeona
Hata miaka iende
My baby
Mwengine sijaona
Tofauti yako na wale
Ni malezi yako, baby
wengine wakitaka tuachane
Unaning'ang'ania sherii
The way you love me najidai
I swear I'm gonna love you till I die
For your love I can't deny
Baby, no denial
Nitafanya lolote sawa
Naomba univumilie, vumilie
Nitapata hata kama kidogo
Naomba univumilie, vumilie
Hata kama sileo basi kesho
Naomba univumilie, vumilie
Nitapata hata kama kidogo
Nitafanya lolote sawa
Nita patata kama kidogo
Hata kama sileo basi kesho
Hata kama sileo basi kesho