lambo jini your body (feat. bonny town) şarkı sözleri
It's magic music
Baby, your body terminator
You got me running to you kama automator
Baby, nataka tukutane later
Gimme love, gimme love gimme love
Ink is amazing
What am gonna do-do-do
Mana roho yangu kwako tu-tu-tu
Umenipa ju-ju-ju
Kila siku akili yangu kwako boo-boo yeah
I wanna show you some love
Show you some love
Wala usiogope baby
Tuwakomeshe wenye roho mbaya
Wenye husda zao mama
Wanakesha omba mabaya
Imekula kwao
Hata wakeshe kwa sangoma
Nitakupenda wewe tu
Mwenzako nitafosi hata kama likigoma
Nitakupenda wewe tu
Usije kesho unipe homa
Nitakupenda wewe tu
Ukajanipamikosi lawama ninaogopa
Nitakupenda wewe tu
Yani baby ukinifollow
Kukupenda mimi nashindwaje
Bora kwako niwe kolo
Ushanifungafunga nafanyaje
Ushaniteka mateka
Utamtam kolea mama
Ushaniteka mateka
Kwenye penzi napepea
Njiwa
Tuwakomeshe wenye roho mbaya
Wenye husda zao mama
Wanakesha omba mabaya
Imekula kwao
Hata wakeshe kwa sangoma
Nitakupenda wewe tu
Mwenzako nitafosi hata kama likigoma
Nitakupenda wewe tu
Usije kesho unipe homa
Nitakupenda wewe tu
Ukajanipamikosi lawama ninaogopa
Nitakupenda wewe tu
Hata wakeshe kwa sangoma
Mwenzako nitafosi hata kama likigoma
Usije kesho unipe homa
Nitakupenda wewe tu
Ukajanipamikosi lawama ninaogopa
Nitakupenda wewe tu