m-double thank you lord şarkı sözleri

Uuuyeh Uuu nanana Mmmhh Wapo wengi walionikatisha tamaa Ila I didnt bother Ipo day yatakuwa sawa Oyeh yeh Thank you Lord For the life Thank you Lord Kwa hiki kipaji Thank you Lord Kuniongeza bidii Thank you Lord Never stop what im doing now Thank you Lord For the life Thank you Lord Kwa hiki kipaji Thank you Lord Kuniongeza bidii Thank you Lord Never stop what im doing now Wapo wengi walionikatisha tamaa Ila misijali napambana Ipo day yatakuwa powa Kila nachofanya now kinaanza lipa My Lord kafungua mlango Kila kona leo minasikika My Lord kafungua mlango Kila kona leo minasikika Watu wenye chuki chonde Kaeni mbali Namafanyikio yangu Sina machuki mnikome Juhudi zangu Nakumuamini Mungu Thank you Lord For the life Thank you Lord Kwa hiki kipaji Thank you Lord Kuniongeza bidii Thank you Lord Never stop what im doing now Thank you Lord For the life Thank you Lord Kwa hiki kipaji Thank you Lord Kuniongeza bidii Thank you Lord Never stop what im doing now Utaji wakwanza niliopewa ni maisha Nawala sijachelewa Big up ma fans all of dem Mnaosapoti Mnaosapoti nachofanya Pamoja na God Pote tutafika Love yenu ma fans Inanifanya nafarijika Im on ma level and im feeling soo blessed Yaani soo blessed Mi king toka siku nimezaliwa Mi doing for ma fans Nakipaji nimejaliwa Natoa ngoma kali wanakunja Wanashindwa sapoti Kazi yao kuniongea vibaya ila Thank you Lord For the life Thank you Lord Kwa hiki kipaji Thank you Lord Kuniongeza bidii Thank you Lord Never stop what im doing now Thank you Lord For the life Thank you Lord Kwa hiki kipaji Thank you Lord Kuniongeza bidii Thank you Lord Never stop what im doing now Wapo watu walionikatisha tamaa Ila misijali napambana Ipo day yatakuwa powa Kila nachofanya now kinaanza lipa Nakumbuka zamani Life yakibatari Ila leo mambo shwari Sasa nakwama wapi kusema asante Baba Thank you Lord For the life Thank you Lord Kwa hiki kipaji Thank you Lord Kuniongeza bidii Thank you Lord Never stop what im doing now Thank you Lord For the life Thank you Lord Kwa hiki kipaji Thank you Lord Kuniongeza bidii Thank you Lord Never stop what im doing now
Sanatçı: M-Double
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:18
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
M-Double hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı