m3 uhai şarkı sözleri

Mpenzi mi' sifai, Uzuri wako mi' sifai, Kwa yote ulionipa mi' shukrani, Mmmm. Wanipa uhai, Ninapaa juu kama tai, Mahaba yako yaniinua, Juu kwa juu. Juu kwa juu kwa juu kwa juu, Mahaba yako yaniinua juu kwa juu. Juu kwa juu kwa juu kwa juu, Mahaba yako yaniinua juu kwa juu. Mawinguni, Pana utulivu, 'Mepata kwangu nyumbani humu. Mawinguni, Pana utulivu, 'Mepata kwangu nyumbani humu. Uhai, uhai, Wanipa, wanipa uhai. Uhai, uhai, Wanipa, wanipa uhai. You, are, love, peace and light, Everything that I need personified, And I feel, so alive, turned my dreams to reality, You, are, love, peace and light, Everything that I need personified, And I feel, so alive, turned my dreams to reality, Mawinguni, Pana utulivu, 'Mepata kwangu nyumbani humu. Mawinguni, Pana utulivu, 'Mepata kwangu nyumbani humu. Uhai, uhai, Wanipa, wanipa uhai. Uhai, uhai, Wanipa, wanipa uhai. Uhai, uhai, Wanipa, wanipa uhai. Uhai, uhai, Wanipa, wanipa uhai.
Sanatçı: M3
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 4:49
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
M3 hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı