maandy sicheki şarkı sözleri

Me sicheki Roundi hii waambie me sicheki Dago, Seti, Zoza hadi ndani Westy Guccci, Fendi, manicure me hufanya Imenti Ka ni mechi, We play rough hakuna friendly Me sicheki Roundi hii waambie me sicheki Dago, Seti, Zoza hadi ndani Westy Guccci, Fendi, manicure me hufanya Imenti Ka ni mechi, We play rough hakuna friendly Mi sicheki Ambia promoter nadai macenti Busy lately Mboka iko fiti siteti Kabaya mdeadly Kwa drill waambie mi ni jetlee Ama Tyson Nadai django ana Sauti ya Bryson Pull up kwa crib na mashoray kama thao Daily DM ni manniga wamembao Ati wanadai kunidate wafao Mi ni hitmaker niite defao Weh ni hater weh ni opp Hii si mbogi, hii ni mob Ka ni WAP, leta mop Kabaya gang top adi top Mokoro anadai hii raha imezidi De moreu ta Jayden wawili Homie anadai atanmpea mkidi Namshow Sidai hadi niguze mamili Me sicheki Roundi hii waambie me sicheki Dago, Seti, Zoza hadi ndani Westy Guccci, Fendi, manicure me hufanya Imenti Ka ni mechi, We play rough hakuna friendly Me sicheki Roundi hii waambie me sicheki Dago, Seti, Zoza hadi ndani Westy Guccci, Fendi, manicure me hufanya Imenti Ka ni mechi, We play rough hakuna friendly Nimeeka mali quarantine Nipata umo nikichafua scene Nisha buy ndege, plug alizi clean Custom made na flame ka grill Tulishow dame akuje correct Kwa mtandao kubonga matope Mwikali alimkuta kikonje Nikiwa mless nilikua pro stopeh Usituite fom, ah, caretaker unajua mtiaji Nimekalia mtungi, lakini sijali Bora nko maji Wake up, breako ni chrome na konyagi East african gal so lunch narep waragi Dont call me, ah mteja hapatikani We nani, ah sipendi ufala flani Nini funny, ah, kimbo maftani Niko kimathi, drip niki pima uzani Me sicheki Roundi hii waambie me sicheki Dago, Seti, Zoza hadi ndani Westy Guccci, Fendi, manicure me hufanya Imenti Ka ni mechi, We play rough hakuna friendly Me sicheki Roundi hii waambie me sicheki Dago, Seti, Zoza hadi ndani Westy Guccci, Fendi, manicure me hufanya Imenti Ka ni mechi, We play rough hakuna friendly
Sanatçı: Maandy
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:06
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Maandy hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı