mabantu boda boda şarkı sözleri

Bodaboda! Yetu bodaboda Aah! Leo tutoke my mama Ruksa ukipaka kainah Kwako nishasigner Nishakufollow ka alivyosema Dayna Maama moyo wangu kwako Eeh utaniacha hoi Ruti bodaboda kijichi Tukirudi tuzame kwa ndichi Mtamu ka mboga Vile ukizungusha unanikoroga Penzi ng’anga’ania Ning’ang’anie usiniache Kitandani hatamia Mafuta tukipaka mate zile mmh Ehh unaniacha hoi Bodaboda, yetu bodaboda Sina Ferrari mama tutapanda (bodaboda) Yetu (bodaboda) Ayaya aah (yetu bodaboda) Mpaka mtwara kwa mama tutakwenda (bodaboda) X wangu alikuwa gigy Na alinipa pa’ Baby nipe zigi zigi Maama vyote nilishapata hizo Mmhh ahh, ziliniacha hoi She call me bae Nipe mate hadharani washangea Nyuma umebeba nini Hizo chuchu konzi ama ndio miba nini We ni wangu wa faida Name ni wako mpaka ni Ving’asti usiwape faida ukaruhusu wakapiga aah Utaniacha hoi Bodaboda, yetu bodaboda Sina Ferrari mama tutapanda (bodaboda) Yetu (bodaboda) Ayaya aah (yetu bodaboda) Mpaka mtwara kwa mama tutakwenda (bodaboda) X wangu alikuwa gigy Na alinipa pa’ Baby nipe zigi zigi Maana moyo wangu kwako Hum eeh utaniacha hoi Ruti bodaboda kijichi (bodaboda, yetu bodaboda ) Sina Ferrari mama tutapanda (bodaboda) Yetu (bodaboda) Ayaya aah (yetu bodaboda) Mpaka mtwara kwa mama tutakwenda (bodaboda) Yetu bodaboda!
Sanatçı: mabantu
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:08
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
mabantu hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı