mabantu kamatulivyo şarkı sözleri

Kimambo on the beat Tuliomba tusu, tukatusua Wao hawavioni buku, wakabukuwa Kongole la butu, tukabutuwa Kwenye chukuchuku, wakachukuwa (wee) Wee mama hakuna kufa iIpandishe kwa juu, alafu shusha Takata kama una susa Weka mvinyo kwa glasi, asha mziki tufurahi (aah yee) Long time nilisaka dooh Takataka, zote nikatupa store Wasaka, wote wanaisoma show Na nawasha, sizimi mpaka waombe pole I say yeah yeah yeah Na wasimame de de de Kwangu mambo bie bie bie Wakiomba leta ge ge ge Zungusha kama tulivyo Waiter, waiter, waiter, ongeza kama tulivyo Zungusha kama tulivyo Waiter, waiter, waiter, ongeza kama tulivyo (Yesa man yesa yesaya) Na nishavunja kibuku nawaza nileweje Kisha niwaambie nilitaka nisemeje Dj niko sawa, niondokee na tege (teege) Nataka niwe chakari Mpaka munibebe bebe bebe Vishuke vitu vikali Vitachoma pigi na tege Haikataii, kufa mara moja Mimi laki moja (tee..) Kesho kaba chaii, nipe tena moja Kama tuko sober checheto I say yeah yeah yeah Na wasimame de de de Kwangu mambo bie bie bie Wakiomba leta ge ge ge Zungusha kama tulivyo Waiter, waiter, waiter, ongeza kama tulivyo Zungusha kama tulivyo Waiter, waiter, waiter, ongeza kama tulivyo Kama hujalewa (njoo kwetu) Sanga limegoma (njoo kweeetu) Uwe umeishiwa (njoo kwetu) Uta uta tesa (njoo kweeetu) (Eeh Dj irudie...) Njoo kwetu... njoo kweeetu Njoo kwetu... njoo kweeetu Zungusha kama tulivyo, ongeza kama tulivyo Zungusha kama tulivyo, ongeza kama tulivyo
Sanatçı: mabantu
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:17
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
mabantu hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı