mabantu kumaanisha nini şarkı sözleri
Sie malaya tukimpenda mtu atumuombi pesa (khee!! )
Ukiona umeombwa pesa show yako mbovu
Sie malaya tukimpenda mtu atumuombi doo
(So )
Ukiona umeombwa kitandani hauna kitu
{si wanapenda kubang)
Kumaanisha Kumaanisha Kumaanisha nini ?? (Pesa )
Kumaanisha Kumaanisha Kumaanisha nini ?? (Show)
Kumaanisha Kumaanisha Kumaanisha nini ?? (Pesa )
Kumaanisha Kumaanisha Kumaanisha nini ??
(Show )
So Weekend tunaenda Wapi ?
kwa dada (kwa da da ko )
Au Twende kwa Kaka (kwa kaka ako )
Twende kwa Baba (kwa baba ako )
Au Twende kwa mama (kwa mama ako )
***
Mke wa mtu si sumu
ghetto tuna maziwa
Ai mama ai Baba
Mume wa mtu si sumu
Ai kaka ai dada (Ghetto tuna maziwa)
Kumaanisha Kumaanisha Kumaanisha nini ?? (Pesa )
Kumaanisha Kumaanisha Kumaanisha nini ?? ( Show )
Kumaanisha Kumaanisha Kumaanisha nini ?? (Pesa )
Kumaanisha Kumaanisha Kumaanisha nini ?? ( Show )
Sie malaya tukimpenda mtu atumuombi pesa (khee!! )
Ukiona umeombwa pesa show yako mbovu
Sie malaya tukimpenda mtu atumuombi doo
(So )
Ukiona umeombwa kitandani hauna kitu
( So )
Weekend tunaenda Wapi ?
kwa dada (kwa da da ko )
Au Twende kwa Kaka (kwa kaka ako )
Twende kwa Baba (kwa Baba ako )
Au Twende kwa mama (kwa mama ako )
****
Mke wa mtu si sumu
ghetto tuna maziwa
Ai mama ai Baba
Mume wa mtu si sumu
Ai kaka ai dada (Ghetto tuna maziwa)
Pesa !!!
Show!!
Pesa !!!
Show !!!