mabantu muhuni şarkı sözleri

Muhuni akipenda anapenda kweli (si wanapenda kubang ) Muhuni akipenda anapenda kweli (kumaanisha nini ? ) Muhuni akipenda anapenda kweli Muhuni akipenda anapenda kweli Ikitokea wamekutenga dunia nzima I will be by your side mama (side mama) Tena ikitokea hata umeua umeletwa kwa mahakama Alafu me ndo judge hauna case mama (case mama ) Uliniomba nitulie nikatulia forever we kushoto me kulia Ulipotoka mateso umechoka kulia Tuzae Watoto tumake historia Asaah! Ukisema unaniacha naomba kuuliza me unaniacha na Nani ?? (Unaniacha na Nani unaniacha na Nani ?? (Unaniacha na Nani ukisema umenichoka naomba kuuliza me unaniacha na Nani (unaniacha na Nani ) Mana kisirani changu unaekiweza (ni wewe ) Unaekituliza (ni wewe ) Unaenipa furaha (ni wewe ) you the best we ndo best wewe ndio furaha yangu (ni wewe ) Unaenipa amani (ni wewe ) unaenipa furaha (ni wewe ) you the best we ndo best unaenifanya niburudike Muhuni akipenda anapenda kweli Muhuni akipenda anapenda kweli Ikitokea wamekuloga umekuwa Chizi dampo makopo tutaokota wote (tutaokota wote ) Tena ikitokea siku ya mwisho me peponi Alafu we motoni uwo moto tutachomwa wote (tutachomwa wote ) Nilisamama pale Tu uliposema simama Sio mashemeji tulipendwa na mama Sio wa kufa Tu na kuzikana Ikiwezekana tufufuke wote kiama Ukisema unaniacha naomba kuuliza mimi unaniacha na Nani ?? (Unaniacha na Nani Unaniacha na Nani ? ukisema umenichoka naomba kuuliza me unaniacha na Nani (unaniacha na Nani Mana kisirani changu unaekiweza (ni wewe ) Unaekituliza (ni wewe ) Unaenipa furaha (ni wewe ) you the best we ndo best wewe ndio furaha yangu (ni wewe ) Unaenipa amani (ni wewe ) unaenipa furaha (ni wewe ) you the best we ndo best unaenifanya niburudike Muhuni akipenda anapenda kweli Muhuni akipenda anapenda kweli
Sanatçı: mabantu
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:12
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
mabantu hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı