mabantu serious şarkı sözleri

Take easy (khee!! ) pop ma champagne (chiby ) weka mitungi na shisha (si wanapenda kubang) maisha yenyewe tunaishi na kuisha Maisha yenyewe tunaishi na kuisha ( Kumaanisha nini ) Pop ma champagne weka mitungi na shisha Maisha yenyewe tunaishi na kuisha Maisha yenyewe tunaishi na kuisha Punguza userious maisha ayataki useious Punguza userious coz maisha ayataki userious Punguza userious maisha ayataki userious Punguza userious coz maisha ayataki userious We Wapi ulisikia pesa ina nunua roho ila ninachojua kwamba pesa inauza roho Japo vita kubwa inayotutesa mapenzi na doo (doo) Ila kwangu ayo mapenzi pesa kwenda (Go!!) Nenda bar nunua bia mbili moja mpe dj akonge yako roho (roho) Aliekwambia kutoka weekend zambi Acha na uyo mwanga kakonge yako roho (roho ) Kama Una bebe kali ila inakupa stress temana nayo bhana usiumize roho (roho) Ukipata kidogo toka na marafiki ujichanganye uisafishe roho (ooh!!”) Punguza userious maisha ayataki useious Punguza userious coz maisha ayataki userious Punguza userious maisha ayataki useious Punguza userious coz maisha ayataki userious Take easy pop ma champagne weka mitungi na shisha Maisha yenyewe tunaishi na kuisha (mara mbili ) Pop ma champagne weka kitu hi na shisha Maisha yenyewe tunaishi na kuisha Unazisaka kwa shida ukipata washauri kibao Uwezi shindana na husda na riziki zao Ishi kwenye ndoto zako waachie zao Chukua 50 zako waachie zao (hao) Nenda bar nunua bia mbili moja mpe dj akonge yako roho (roho) Aliekwambia kutoka weekend zambi Acha na uyo mwanga kakonge yako roho (roho ) Kama Una bebe kali ila inakupa stress temana nayo bhana usiumie roho (roho) Ukipata kidogo toka na marafiki kajichanganye uisafishe roho (ooh!!”) Punguza userious maisha ayataki useious Punguza userious coz maisha ayataki userious Punguza userious maisha ayataki useious Punguza userious coz maisha ayataki userious Take easy pop ma champagne weka mitungi na shisha Maisha yenyewe tunaishi na kuisha Maisha yenyewe tunaishi na kuisha Pop ma champagne weka kitu hi na shisha Maisha yenyewe tunaishi na kuisha Mwisho
Sanatçı: mabantu
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:29
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
mabantu hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı