mabantu shemeji şarkı sözleri

Shemeji mrudie mwana (Solo ) Shemeji mrudie mwana (Si wanapenda kubang ) Shemeji mrudie mwana (Oyaah!! Shem kama shem ) Shemeji mrudie mwana (Shem kama shem ) Oyaa!! Shem kama shem (Shem kama shem ) utatutoa roho (eeh!! ) Shem kama shem utatutoa damu Shem kama shem we Ndio copy ya mama mkwe Sio kwa dada tu unapendwa na Baba mkwe (Kumaanisha nini ?? ) Shem juzi kwa kikao kikuu Aliejadiliwa ni wewe tu Mashemeji wote tumekubaliana mwanetu akuchore tattoo Shemeji mrudie mwana (Oyaah!! Shem kama shem ) Shemeji mrudie mwana (Shem kama shem ) Oyaa!! Shem kama shem (Shem kama shem ) utatutoa roho (eeh!! ) Shem kama shem utatutoa damu Shem ndoa soon tunakuja na posa (kuja na posa ) Fanya urudi home mwana tutamkosa huyu (tutamkosa) Kwanza Shem wahuni tumemis pishi lako Sisi sote tupo upande wako Sio Semeni wala Ashura Hakuna wa kurithi kiti chako Ebu rudi nyumbani Shemeji mrudie mwana (Oyaah!! Shem kama shem ) Shemeji mrudie mwana (Shem kama shem ) Oyaa!! Shem kama shem (Shem kama shem ) utatutoa roho (eeh!! ) Shem kama shem utatutoa damu Oyaa!!! Shemeji la dunia we mke wetu miaka mia (Shem lake ) Me si nakwambia hapo tunao na tumepania (Shem lake ) Yeeh! Una nyota kali sana mwanetu anakutafakari Sana (Shem ) Nakuchana couple yenu itafika mbali sana (Shem) (Okay ) Shemeji mrudie mwana (Oyaah!! Shem kama shem ) Shemeji mrudie mwana (Shem kama shem ) Oyaa!! Shem kama shem (Shem kama shem ) utatutoa roho (eeh!! ) Shem kama shem utatutoa damu
Sanatçı: mabantu
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:28
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
mabantu hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı