mabantu star şarkı sözleri

Unaniletea Ustar Me Mwenyewe Star Mama Yangu Star Baba yangu Star Hiyo Bebe yangu Star X wangu Star Dj wangu Star mpaka Bodyguard star So usituletee U star (star) Atushobokei U star (star) Wanangu ma Star (star) Mpaka snitch wangu star (star) Wewe unaniletea U (star ) Jirani yangu star Mwenye nyumba wangu (star) Mpaka Bodaboda star Kumanisha nini Hainaga show show (hainaga shobo wanangu) Hainaga kutubu tubu (haina shobo wangu) Masponsa si wanazo doo (hainaga shobo wanangu) Nguvu za kiume tunazo sisi (hainaga shobo wanangu) Hainaga show show (hainaga shobo wanangu) Ainaga kujishauwa (hainaga shobo wanangu) Dada akipita na bwana ako (hainaga shobo wanangu) Nawe pita na baba yake (hainaga shobo wanangu) Mala Ooh!! Mademu wa sinza tabata wana U.T.I nyooo) Mademu wa chuga kiuno kigumu (nyooo) Mademu wembamba wanaomba vocha (nyooo) Mademu wa fupi eti wabishi (nyoo, nyooo) So usituletee U star (star) Atushobokei U star (star) Wanangu ma Star (star) Mpaka snitch wangu star (star) Wewe unaniletea U star (star) DJ wangu star, mwenye nyumba wangu star mpaka Bodaboda star Oyaa Hainaga show show (hainaga shobo wanangu) Ainaga kujishauwa (hainaga shobo wanangu) Wewe ukimpa macho matatu (hainaga shobo wanangu) Sisi anatupa jicho moja (hainaga shobo wanangu) Kumanisha nini Hainaga show show (hainaga shobo wanangu) Ainaga kutili tili (hainaga shobo wanangu) Wewe ukimlewesha (hainaga shobo wanangu) Sie kwa bed tunamkeshesha (hainaga shobo wanangu) Unataka gari na hauna salio (nyoo) Bwana mdogo si unakijambio (nyoo) Piga kelele nyingi kama una kalio na kama hauna kalio tingisha hilo fagio (nyoo) Nyoo) So usituletee U star (star) Atushobokei U star (star) Wanangu ma Star (star) Mpaka snitch wangu star (star) Wewe unaniletea U (star) DJ wangu star Mwenye nyumba wangu star mpaka bodaboda star
Sanatçı: mabantu
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:30
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
mabantu hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı